Asante sana mkuu.Leo saa 10:00 jioni Simba SC itakuwa kibaruani kucheza dhidi ya Coastal Union katika dimba la Uhuru Dar es Salaam.
Ni mchezo wa raundi ya tatu ya NBC Premier League ambapo kila timu inahitaji alama tatu ili kujiweka katika nafasi nzuri kwenye msimamo wa ligi.
---
We going to lead today.Ohoooo kumekucha
Yes Yes...Mkuu si ni uwanja wa Uhuru?
Kikosi kiko vizuri, hata goli 4 + zinaezekanaLeo saa 10:00 jioni Simba SC itakuwa kibaruani kucheza dhidi ya Coastal Union katika dimba la Uhuru Dar es Salaam.
Ni mchezo wa raundi ya tatu ya NBC Premier League ambapo kila timu inahitaji alama tatu ili kujiweka katika nafasi nzuri kwenye msimamo wa ligi.
---
Hii mechi si imepelekwa chamazi.......Leo saa 10:00 jioni Simba SC itakuwa kibaruani kucheza dhidi ya Coastal Union katika dimba la Uhuru Dar es Salaam.
Ni mchezo wa raundi ya tatu ya NBC Premier League ambapo kila timu inahitaji alama tatu ili kujiweka katika nafasi nzuri kwenye msimamo wa ligi.
---
Ni Alhamisi Saa 10Uwanja mtupu kabisa. Mashabiki wamesusa
Una until gani dogo?Japokuwa kuwa kwamba leo siku ya kazi ndio msuse kabisa kwenda uwanjani hata watu mia mbili hamfiki. Halafu mwisho wa msimu TFF wakitoa takwimu timu iliyoongoza kuingiza mashabiki viwanjani mnaanza kulialia kuwa takwimu za uongo.
Sent using Jamii Forums mobile app