Ng'wale
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 4,690
- 3,399
Ficha aibu yako.Kanuni za ligi zilibadilika tangu mwaka juzi. Kabla ya kuangalia mabao ya kufunga na kufungwa, kinachoangaliwa ni Head to Head, ni kwa kuwa tu bado Simba na Yanga hawajakutana. Unaweza ukawa na mabao mengi, ila kama mnayelingana naye point alikukanda, anakuwa juu yako