FT: Simba 3-0 Coastal Union | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 21.09.2023

FT: Simba 3-0 Coastal Union | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 21.09.2023

Kanuni za ligi zilibadilika tangu mwaka juzi. Kabla ya kuangalia mabao ya kufunga na kufungwa, kinachoangaliwa ni Head to Head, ni kwa kuwa tu bado Simba na Yanga hawajakutana. Unaweza ukawa na mabao mengi, ila kama mnayelingana naye point alikukanda, anakuwa juu yako
Tupe na ushahidi
 
3g inatosha. Tuna mechi muhimu zaidi dhidi ya Power Dynamos. Nadhani tume huru ichunguze ichunguze kwa nini wachezaji wa Simba wanaumizwa kwenye mechi dhidi ya timu zinazoongozwa na watu wenye mahusiano na Utopolo. Leo Coastal ya Zahera kaumia Inonga, mwaka jana Singida ya Pluijm na yule mmiliki walimuumiza Phiri
Wao siyo wa kwanza kuumizwa.Kuhusu Dynamo.. mnakuja kutolewa,save hii komenti.
 
Hii Simba mi naona mbovu tu halafu inaridhika haraka. Hili Kibu nalo lafa tu. Nimechukia Sana, maana wachezaji hawaelewi Ligi ya mwaka huu ngumu kiasi gani kwa hivyo kushinda idadi kubwa ya magoli ni muhimum
Hahahaha,bado mtasema na mumshukuru Arajiga kwa kuwatoa Coast mchezeno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kanuni za ligi zilibadilika tangu mwaka juzi. Kabla ya kuangalia mabao ya kufunga na kufungwa, kinachoangaliwa ni Head to Head, ni kwa kuwa tu bado Simba na Yanga hawajakutana. Unaweza ukawa na mabao mengi, ila kama mnayelingana naye point alikukanda, anakuwa juu yako
Wewe kweli kilaza,kinachoanza kwanza ni GD mkilingana ndio inakuja head to head.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom