FT: Simba 3-0 Kagera Sugar | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 15.12.2023

Kipa wa Kagera Sukari yuko chini.
Alijitupa wakati anafuata mpira mkali wakichwa uliopigwa na Baleke
 
Baleke in Phiri out

Mzamiru out Onana in (kipenzi cha mashabiki)

Kibu in Chama out
Watu waseme kabisa subs zilizofanyika ni nzuri au mbaya πŸ˜‚πŸ˜‚


Maana timu ikikosa matokeo utasikia lawama
 
Naiona mbeleko live, ila simba wanacheza vizuri
 
Kwa mujibu wa mchambuzi mchezaji wa zamani wa yanga na simba amri kiemba maamuzi ya penati kurudiwa yalikosewa na Huu ni mwendelezo wa maamuzi mabovu ya marefa .
 

Attachments

  • ED3AE1DD-CC20-47F6-93B2-6CD282E7A9F4.jpeg
    620 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…