Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemuuliza maana anakosoa huku anaangalia akifunga miguu ili tusishindeHata kuangalia Simba ikicheza ni kazi pia....😂😂😂
Ndiyo.Huna kazi ya kufanya
Bado tatu muda mbona upo wa kutoshaBado Moja.
Hii inapaswa kuwa clean sheet
Msambaa na Msomali, wapi na wapi Sheikh!! Wasambaa siyo watu wa nongwa.Nilijuwa tu huu mpira wa leo utagurugwa na marefa ili wamfurahishe huyo msambaa wa tff
Wewe subiri mida ya kuwangaBenchika afiki mwezi wa tano
Muulizeni kilichomfukuza usm Alger