Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Hahhahaha mdudu wa kike nakubali sna arifu.Utanifanyaje kwani njoo uone utatoka ukicharu mie ni mdudu wa arachuga
TupoWana 5imba mmejua kunifurahisha kwakweli, mko wapiii 😹
Hamuwezi kitu yanga itawalamba mpaka miguu walahi mmewahi ona paka akila samaki hadi mifupqTarehe 8 sio mbali
Kumbukumbu YANGA 1 -APR 3
FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024
Tupo tayari kwa mchezo wa robo fainali mechi ni saa 2:15 usiku Mungu ibariki Yanga SC Takwimu za kipindi cha kwanza.www.jamiiforums.com
Tutolee kelele, tengeneza timu yako kha! Wabongo taabu kwelikweli, unataka malaika ndio wacheze?Timu inahitani reshuffle kubwa sana, kuanzia Mudi na wengine wengi wakae banchi timu ianze upya. Simba ubovu wake ni uleule wa misimu iliyopita haijabadilika
Kwanini?Unafki
Ungekua mshabiki wa simba ningeshaa sna rafiki yangu kipenzi😁😁😁Hamuwezi kitu yanga itawalamba mpaka miguu walahi mmewahi ona paka akila samaki hadi mifupq