mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Inawezekana anaandika huku anatetemeka haamini macho yake😁Jikite kwenye Yanga day mkuu. Unajali ya jirani kuliko ya kwako😀
Typical bongo.😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana anaandika huku anatetemeka haamini macho yake😁Jikite kwenye Yanga day mkuu. Unajali ya jirani kuliko ya kwako😀
Typical bongo.😀
kocha mwenyewe hana profile ya kueleweka.Kumbuka Simba imefumua kikosi chake kwa sehemu kubwa na kocha amekuja na falsafa mpya ...inachukua muda mpk timu ikae sawa.
Tatizo wabongo hatujui mpira na hatuna subira.
😆Inawezekana anaandika huku anatetemeka haamini macho yake😁
Unataka upewe ramani ya vita?Hv Simba hamkuwa ht na mchezaji mwenye skills ya kuuchezea mpira wakati mnatambulisha wachezaji wenu?
kapombe angestaafu kwa heshima kama alivyofanya nahodha wakeNouma, Fernandez, Okajepha, Mutale, Ahoua na Awesu ni maingizo mazuri katika kikosi cha Simba Sc na sina wasiwasi nao.
Fabrice Ngoma, Kapombe na Zimbwe, wajitathimini sana.
kandanda haihusiani na kuuchezea mpira!! bali inahusiana na kuucheza mpira!!Hv Simba hamkuwa ht na mchezaji mwenye skills ya kuuchezea mpira wakati mnatambulisha wachezaji wenu?
Kwanini mkuu 😂😂Mkuu wewe huwa nakufananisha sana na Nyani Ngabu , especially kwenye “sense of humour”
However yeye sijawahi kumuona huku kwenye jukwaa la michezo. Wala sijui kama yeye ni Simba au Yanga.
We selemani wee Suley2019 nilikuambia, hukutaka kusikiaAnd today, marks the last day ya 5imba kuwa na furaha kwenye msimu huu wa ligi..!!!
Ubishi wenu utakuja kuwauwa...!! HAYA SASA, KIKO WAPI?Mshawekewa amila kwenye supu mnakuja kusumbua raia
Mmmh!Yanga hawatak kuamin Simba imebadilika, tukutane tarehe 8, ili muanze mpango wa kumuunga MKONO magoma