FT: Simba kuukaribia Ubingwa wa Ligi ya NBC leo? | Mtibwa Sugar 0-3 Simba SC | Saa 10:00 Jioni | Jamhuri Stadium

FT: Simba kuukaribia Ubingwa wa Ligi ya NBC leo? | Mtibwa Sugar 0-3 Simba SC | Saa 10:00 Jioni | Jamhuri Stadium

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Raundi ya 28 ya Ligi Kuu NBC inaendelea leo kwa mchezo wa kusisimua kati ya Mtibwa Sugar na Simba SC utakaopigwa saa 10:00 jioni katika Uwanja wa Jamhuri. Simba SC ikisaka pointi 3 katika mbio za ubingwa baada ya kuukosa kwa misimu kadhaa mfululizo, huku Mtibwa Sugar ikihitaji matokeo mazuri mbele ya mashabiki wake.

Je, nani ataibuka na ushindi katika pambano hili?

1782298402825.png
 
Back
Top Bottom