Raundi ya 28 ya Ligi Kuu NBC inaendelea leo kwa mchezo wa kusisimua kati ya Mtibwa Sugar na Simba SC utakaopigwa saa 10:00 jioni katika Uwanja wa Jamhuri. Simba SC ikisaka pointi 3 katika mbio za ubingwa baada ya kuukosa kwa misimu kadhaa mfululizo, huku Mtibwa Sugar ikihitaji matokeo mazuri mbele ya mashabiki wake.
Wachezaji wa Azam wanabehave tipicol African culture. Uvivu. Ningekuwa CEO wa hii timu ningekuwa nakata mishahara ya Wachezaji wote wanaoonesha uvivu uwanjani.