Sinkala
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 1,773
- 688
Labda wanatafuta sareSimba wameanza kupoteza tena mida.
Inakuwaje pale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda wanatafuta sareSimba wameanza kupoteza tena mida.
Inakuwaje pale
Yupo vizuriNilisikitika sana tulivyomuacha huyu mwamba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivii unateseka na simba eeeh.?Hadi kocha Benchika kiti cha moto hakai
Hiyo sub asije kuirudia kabisa kwenye mechi kubwa.Ila Kocha amezingua kumtoa Miqueson labda kama lengo kuwajaribu wachezaji. Aliyepaswa kutoka ni Chilunda.
Bas waache wanaohusinisha, wee endelea na kutohusinisha.Wale wale wabongo kupenda kujikweza
Hakuna uhusiano wa physics na mpira
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] APR anachekea chooni.Ukubwa wa SSC upo
JAMHUR NAYO
TUTAONA NA SINGIDA
YANGA ANGEWAFUNGA HIZI TAKATAKA ZOTE
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niliwaza jana, ulikua una hali gani.Mtani mna booooongeeeee la timu......
Kuna lishangazi limeniachia leo,nilikuwa na jilia vyangu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niliwaza jana, ulikua una hali gani.
Sipati picha ulihemkwa vipiii, woiiiiih
La kwako lishabeba ubuyu wa Kiponda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nguvu ulipata wapi ya kudeveleka na lishangazi huku team yako imetolewa mashindanoni? HuhuhKuna lishangazi limeniachia leo,nilikuwa na jilia vyangu.
Hasira nilimalizia kwake,akanipoza na kunipatia utulivu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nguvu ulipata wapi ya kudeveleka na lishangazi huku team yako imetolewa mashindanoni? Huhuh