FT: Simba SC 1-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex| Robo Fainali | 08.01.2024

Hawa watoto wamekosa speed na utimamu wa mwili na ndio maana hii mipira mbele ya kutumia ugali wanaipoteza,la sivyo tungeongea mengine Kenedy amefanya kazi nzuri sana,kawin battle nyingi.
 
Dakika 2 zimeongezwa

Kiofsa yani
 
Kocha arekebishe hili tatizo la kupiga pasi za nyuma. Yaani mtu yuko mbele kabisa halafu anapiga pasi ya nyuma. Fosi mbele tu hadi waachie
 
Benchika analitaka hili kombe kuliko Simba wenyewe 🤣🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niliwaza jana, ulikua una hali gani.
Sipati picha ulihemkwa vipiii, woiiiiih
Kuna lishangazi limeniachia leo,nilikuwa na jilia vyangu.
 
Kwenye redio vipi huko haujaisha tu??
 
Kuna lishangazi limeniachia leo,nilikuwa na jilia vyangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nguvu ulipata wapi ya kudeveleka na lishangazi huku team yako imetolewa mashindanoni? Huhuh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nguvu ulipata wapi ya kudeveleka na lishangazi huku team yako imetolewa mashindanoni? Huhuh
Hasira nilimalizia kwake,akanipoza na kunipatia utulivu.

Ila timu hamna ndugu zangu, dk ya 83 kocha analalamika hazioni pass mpenyezo, hapo ndipo ujue Chama bado yupo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…