Benchika analitaka hili kombe kuliko Simba wenyewe π€£π€£π€£
Kweli Chama yupo sanaHasira nilimalizia kwake,akanipoza na kunipatia utulivu.
Ila timu hamna ndugu zangu, dk ya 83 kocha analalamika hazioni pass mpenyezo, hapo ndipo ujue Chama bado yupo sana.
Wanawaiga YangaKocha arekebishe hili tatizo la kupiga pasi za nyuma. Yaani mtu yuko mbele kabisa halafu anapiga pasi ya nyuma. Fosi mbele tu hadi waachie
[emoji23][emoji23][emoji23]Mashabiki wa SSC ni washamba
Hakuna timu
Tangu mwanzo ilionekana, kundi la Simba Sc likikuwa na team zenye profile ya maana.Timu tatu kati ya nne zilizoingia nusu fainali zimetoka katika kundi la Simba
Kwa aina hii ya game .Hawa ndugu zake uto (Singida FG) wamenuna hatari.
π€£π€£π€£hivi mmechukulia haya mashindano serious hivyo??Tangu mwanzo ilionekana, kundi la Simba Sc likikuwa na team zenye profile ya maana.
ππππππππ we jamaaUkubwa wa SSC upo
JAMHUR NAYO
TUTAONA NA SINGIDA
YANGA ANGEWAFUNGA HIZI TAKATAKA ZOTE
Yaani Simba iwaige Yanga? Kuwa serious Basi kidogo sisterWanawaiga Yanga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wee mtani mwenye pasi mpenyezo si ungeonesha jana, ilikuaje ukafurushwaa??Hasira nilimalizia kwake,akanipoza na kunipatia utulivu.
Ila timu hamna ndugu zangu, dk ya 83 kocha analalamika hazioni pass mpenyezo, hapo ndipo ujue Chama bado yupo sana.
Sister tena?Yaani Simba iwaige Yanga? Kuwa serious Basi kidogo sister