FT: Simba SC 1-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex| Robo Fainali | 08.01.2024

FT: Simba SC 1-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex| Robo Fainali | 08.01.2024

Kama la goli la Aziz Ki katikati ya Makolokolo 10 ile mechi mliyokula 5-1?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Mkuu😂😂


Matokeo hayabaki hivo hivo
Umeliwa 3 na belouzidad
Umeliwa 3 na ApR

Na utaliwa sana tu

Kwaheri mtani
Kwaheri kwenye mashindano

5-1 haikupi kombe wewe

Umekosa cha kusema unahangaika tu kwenye page za simba
 
Hilo tatizo sio kwenye mpira tu, yani ikitokea wakawa na utaratibu wa kupima akili za hawa vijana waendesha pikipiki kabla ya kuwapa leseni basi tutakuwa tumezuia ajali nyingi sana, maana nyingi ni matokeo ya akili zilizofeli.

NAUNGA MKONO HOJA YAKO.
Mkuu bodaboda wamekukosea nini??
 
Yes, kuanzia point 13 na kuendelea waache waende halmashauri kudhulumu fedha za wananchi na kujenga madaraja na barabara feki[emoji38]

Unajua vitu vingine vina logic rahisi sana. Angalia money circulation iliyopo kwenye mpira ikiwa pamoja na mishahara ya wachezaji halafu linganisha mishahara mbuzi ya vijana wanaopata hizo Div. 1 na kuajiriwa serikalini huko.
[emoji23][emoji23][emoji23] ila kweli uko sahihi.
 
Mkuu[emoji23][emoji23]


Matokeo hayabaki hivo hivo
Umeliwa 3 na belouzidad
Umeliwa 3 na ApR

Na utaliwa sana tu

Kwaheri mtani
Kwaheri kwenye mashindano

5-1 haikupi kombe wewe

Umekosa cha kusema unahangaika tu kwenye page za simba
Makolokolo 1 limeshatoka shimoni kama yale Magaidi yaliyopo kule Gaza baada ya kupigwa kwenye mshono [emoji38]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu[emoji23][emoji23]


Matokeo hayabaki hivo hivo
Umeliwa 3 na belouzidad
Umeliwa 3 na ApR

Na utaliwa sana tu

Kwaheri mtani
Kwaheri kwenye mashindano

5-1 haikupi kombe wewe

Umekosa cha kusema unahangaika tu kwenye page za simba
Umempatiajeeee sasa, yaan umempa makavuu haswaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sirias kikosi C ilihali Wachezaji kikosi A 14 wote hawapo, lini Makolokolo mtakuwa na akili?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Asiye na akili ni wewe, Gamondi alisema analitaka kombe, wewe unasema hamkuwa siriazi hivi kweli afya yako ya akili ipo sawa?
 

Attachments

  • 1704732218203.jpg
    1704732218203.jpg
    326.8 KB · Views: 3
Kuweni serious na kazi za watu

hakuna hesabu za darasani kwenye kwenye mpira


algebra na mpira wapi na wapi?
Utawaweza Sasa vijana wakishashiba magimbi😂😂.
Sasa akina Messi na Ronaldo ambao ni wa nyakati hizi wengi tunawajua walishachungulia hata darasa ukiachilia mbali kupata ALAMA za juu
 
Hakuna kitu kama hicho.
Tungekuwa seriaz kama nyie.
Max, Pacome, Yao, Aucho, Sureboy,
Mkude wangecheza.
Mlikatazwaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwann msikubalii mmetolewaa.

Umesahau jana baada ya kupata goal, ulivyo wehukwaa.
Hebu tutolee ngenga zako bhana we.
 
Back
Top Bottom