FT: Simba SC 1-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex| Robo Fainali | 08.01.2024

Kama la goli la Aziz Ki katikati ya Makolokolo 10 ile mechi mliyokula 5-1?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Mkuu😂😂


Matokeo hayabaki hivo hivo
Umeliwa 3 na belouzidad
Umeliwa 3 na ApR

Na utaliwa sana tu

Kwaheri mtani
Kwaheri kwenye mashindano

5-1 haikupi kombe wewe

Umekosa cha kusema unahangaika tu kwenye page za simba
 
Mkuu bodaboda wamekukosea nini??
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ila kweli uko sahihi.
 
Mkuu[emoji23][emoji23]


Matokeo hayabaki hivo hivo
Umeliwa 3 na belouzidad
Umeliwa 3 na ApR

Na utaliwa sana tu

Kwaheri mtani
Kwaheri kwenye mashindano

5-1 haikupi kombe wewe

Umekosa cha kusema unahangaika tu kwenye page za simba
Makolokolo 1 limeshatoka shimoni kama yale Magaidi yaliyopo kule Gaza baada ya kupigwa kwenye mshono [emoji38]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu[emoji23][emoji23]


Matokeo hayabaki hivo hivo
Umeliwa 3 na belouzidad
Umeliwa 3 na ApR

Na utaliwa sana tu

Kwaheri mtani
Kwaheri kwenye mashindano

5-1 haikupi kombe wewe

Umekosa cha kusema unahangaika tu kwenye page za simba
Umempatiajeeee sasa, yaan umempa makavuu haswaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuweni serious na kazi za watu

hakuna hesabu za darasani kwenye kwenye mpira


algebra na mpira wapi na wapi?
Utawaweza Sasa vijana wakishashiba magimbi😂😂.
Sasa akina Messi na Ronaldo ambao ni wa nyakati hizi wengi tunawajua walishachungulia hata darasa ukiachilia mbali kupata ALAMA za juu
 
Hakuna kitu kama hicho.
Tungekuwa seriaz kama nyie.
Max, Pacome, Yao, Aucho, Sureboy,
Mkude wangecheza.
Mlikatazwaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwann msikubalii mmetolewaa.

Umesahau jana baada ya kupata goal, ulivyo wehukwaa.
Hebu tutolee ngenga zako bhana we.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…