Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #261
Kamfunga tobo.
ChamaMfungaji nani?
Hatimae umetoka pangoniChamaa baba
Mmemuona sasa Mwenye Avatar ya Mo kaja. Nilisema... muoga sana
Ohh it's time to shineChama
Sisi tupo muda wote, kwani mmefika fainali?Uto mje sasa mcomment
ngoma inaisha 2 kwa 1 mgeni anashindaUto mje sasa mcomment
Kila la heri mtani jiraniNjeimaaa weituuu
HahahaaaSisi tupo muda wote, kwani mmefika fainali?
Ndio tunaelekea hukoSisi tupo muda wote, kwani mmefika fainali?
Wasitutishe wasubirie muziki munene keshoSisi tupo muda wote, kwani mmefika fainali?
Unateseka ukiwa wapi Mwananchi ???Mwenye Avatar ya Mo Kwanimida hii, ngoja washinde sasa. Kila muda anatype yeye tu ππππ Acha uoga wewe njoo sasa hivi.