HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Hapo kweli Linesman alikosea kwa makusudi[emoji276]View attachment 2541056
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kweli Linesman alikosea kwa makusudi[emoji276]View attachment 2541056
Kwamba Vipers atafikisha point 7 kabla ya Simba?Hili kundi liko very interesting, pamoja na Vipers kufungwa mechi tatu bado anao uwezo wa kutinga robo finali. Ni Raja pekee ndiye ambaye ametinga robo fainali, walisalia wanayo nafasi ya kuungana na Raja.
Vv
Ndo maana Club zetu zinatakiwa ziwe na viwanja vyao pekeeWamepewa hadi mwezi wa 4 au 5 wanakuja kuangalia target ya kwanza kama imefikiwa ambapo inajumuisha maboresho ya pitch. Uwanja leo una hali mbaya kuliko hata game za mwisho zilizochezewa pale.
Wanawake leo wanatoa drawSimba anaingia Robo Fainali kabla ya timu nyingine yoyote ya Tanzania msimu huu. Mkubwa mkubwa tu.
Mnyama anawakilisha kwa mabingwa
Anaongelea uwepo wa possibility hata kama ni next to impossible.Kwamba Vipers atafikisha point 7 kabla ya Simba?
Kwamba atamfunga Raja ?