FT: Simba SC 1-0 Vipers SC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa Stadium | 07.03.2023

FT: Simba SC 1-0 Vipers SC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa Stadium | 07.03.2023

Kwa kifupi kasema Simba hii inaingia robo kwa kuunga unga.
Mara ya mwisho Utopolo FC kucheza ligi ya mabingwa waliambulia pts 2 tu. Ndiyo mafanikio makubwa kuwahi kutokea huko kwenu Utopoloni.
 
Ila mgunda ni bonge la kigagula, simba iliyokuwa inatembeza boli na kufunga mibao, leo inacheza kama yanga princes
 
Bila shaka kazi imebaki kwa Simba kuchukua tiketi yake ya robo hapa hapa nyumbani. Ashindwe mwenyewe tu.
Kweli kabisa mkuu, mchezo muhimu sana huo kwa Simba kuamua hatima yake kwenye hayo mashindano.
 
Basi Mtampata Huyo Punda Msimu Huu Ambaye Bila Shaka Ndio Ubingwa Wa NBC Na CAF Champions League [emoji23][emoji23]
Kesho mnakibarua pale kwa Mkapa

Na wale Bamako nilivyowaona kwenye mazoezi yao sijui kama mtapona
 
Kesho mnakibarua pale kwa Mkapa

Na wale Bamako nilivyowaona kwenye mazoezi yao sijui kama mtapona

[emoji276]
IMG_0957.jpg
 
Hili kundi liko very interesting, pamoja na Vipers kufungwa mechi tatu bado anao uwezo wa kutinga robo finali. Ni Raja pekee ndiye ambaye ametinga robo fainali, walisalia wanayo nafasi ya kuungana na Raja.

Vv
 
Muda wa kufanya matengenezo bado ni mkubwa tu.
Wamepewa hadi mwezi wa 4 au 5 wanakuja kuangalia target ya kwanza kama imefikiwa ambapo inajumuisha maboresho ya pitch. Uwanja leo una hali mbaya kuliko hata game za mwisho zilizochezewa pale.
 
Ashukuriwe Kwa Kushindwa Kutafsiri Vizuri Sheria Za Offside Vinginevyo Hali Ingekuwa Mbaya Muda Huu [emoji41]
Ile mbona ni offside Mkuu tatizo hii michuano haitumii tech ya 3D preview.

Pale utakuta ni shati ndio lilizidi, sasa wewe focus yako ikiwa kwenye mwili utajikuta unampa lawama za bure braza wa watu
 
Back
Top Bottom