Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
SanaaaPole... tension ya kiwango cha juu sana .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SanaaaPole... tension ya kiwango cha juu sana .
Nilisema juzi hapa Simba wakishinda game na Horoya wakajihakikishia kuvuka, huko Morocco wasiende Raja wapewe point zao siyo kesi.Raja wanatisha manina. Tunaomba watupe hata droo
Tutadhalilika zaidiNilisema juzi hapa Simba wakishinda game na Horoya wakajihakikishia kuvuka, huko Morocco wasiende Raja wapewe point zao siyo kesi.
Waingize timu gym tuisubirie robo.
Tuna kazi moja tu ya kumpasua Horoya iwe jua iwe mvua hakuna jinsi nyingine
Sasa utoe huko kiroho safi😅😅Thanx mtani wa ukweliii
Ilikuwa game yetu ile ila tugange yajayo. Tuwapige hapa tufunge mahesabu.Ila Horoya ilitakiwa tuwapige kwao. Group lingeshaisha
ndio maana halisi ya kucheza ligi ya mabingwaTumeshinda kwa tabu sana presure kubwa
Bado unanishauri niendelee kungojaWe ngoja mnapigwa hii mechi
Wale washenzi wanaweza kuingia full mkoko wakati sisi tunaenda kukamilisha ratiba tukiwa na uhakika wa kuvuka. Tukienda kwa mentality ya kupambana kulinda heshma ya club sawa.Tutadhalilika zaidi
Nilikaa mbali kwa hiyo kuna vitu nilikuwa nahitaji assist kutoka kwenu ambao mko kwenye screen[emoji15][emoji15]makubwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nani huyo mgeni wetu ...
Aisee si unajua k na l zimekaribiana mzeeNi ule mkuu Sio uke 😁😁
Toa hela ya tangazoTANGAZO
Kesho hatutaki dunduka yeyote atuanzishie uzi, tutaanzisha wenyewe baada ya dakika 3 na kuendelea. Baada ya mchezo kuanza. Mzingatie hili Tangazo. Tuna letu jambo....