Smart AJ
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 5,564
- 5,884
Yoyote ataejichanganya atakula nyingi bila
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yoyote ataejichanganya atakula nyingi bila
Ndo imetoka hiyo,kundi lishaisha hilo,balaa lipo kwa kina ahly na mamelodi ,hilalMsimamo Leo tar 7 March
View attachment 2540972
Tukieda morroco no chama no sakho wala saidoo kikosi kizima wanajaa mabeki na viungo wa ulinzi tu,japo hata wenyewe hawatakamia sana hyo mechi,coz washaenda zao robo fainaliTutadhalilika zaidi
Ni kwa maelekezo ya kocha! Tuliza mzuka, mwisho wa siku utaelewa tu!Kwa nini CHAMA anashuka sana chini.?
Sakho naona muda wake hapa simba unaishia!! Anapenda sana kucheza na jukwaa, rangi nyingi mwisho wa siku hakuna tija!!Sakho ...aingie Baleke haraka
Nani asubiri mchezo wa walioshindwa!!! CAF confederation cup ni ni mashindano ya loosers!! ni kama MEMKWA!! Mpango wa mashindano kwa walioshindwa!Wasitutishe wasubirie muziki munene kesho
Tunahesabu ni magoli mawili maana mpira umepita kwenye magoli mawili: La kwanza ni katikati ya miguu ya kipa kisha katikati ya nguzo mbili za goli la uwanjani!Kwa mliopo safarini haya ndio mazingira ya goli yalivyokuwa, mnaemuona chini ni kipa wa Vipers akiwa hajui nini kimetokeaView attachment 2540882
Pole!! Hata kwenye replay umeshindwa kuona kuwa hiyo ilikuwa ni offside clear?Simba waache kuzubaa, kama sio mbeleko ya mshika kibendera pale lilikuwa goli
Simba si kama utopolo ujue!!Usihuzunike mkuu, Horoya hawawezi kusawazisha, mziki upo kwa Simba wasipoongeza goli kuna hatari ya kusawazishwa
Grant anafundisha timu gani?Namuona Grant kaja kumuangalia Phiri na Chama.
Raja tutawaua kwao!!Nilisema juzi hapa Simba wakishinda game na Horoya wakajihakikishia kuvuka, huko Morocco wasiende Raja wapewe point zao siyo kesi.
Waingize timu gym kuongeza fitness ya wachezaji tuisubirie robo.
kupaki bus kwa hofu gani? Hatutakuwa na cha kupoteza ni kushambulia mwanzo mwisho hadi kieleweke! Lazima wafe kwao!!Tukiwafunga Horoya tu
Kule Moroko ni mwendo wa kupaki basi.
Aliyeko huko winga ya kushoto clear offside!![emoji276]View attachment 2541056
Ikawe heri kwa Wana Jangwani leo. Wawe makini sana,kamba mara nyingi hukatikia pembamba.
Grant anafundisha timu gani?
Topolo unaumia? Wahi Panadol pharmacyAshukuriwe Kwa Kushindwa Kutafsiri Vizuri Sheria Za Offside Vinginevyo Hali Ingekuwa Mbaya Muda Huu [emoji41]
Ligi ya ma losers ndio leo sio?Na wameipanga sawa na tarehe ya siku ya ..........Sijasema.TANGAZO
Kesho hatutaki dunduka yeyote atuanzishie uzi, tutaanzisha wenyewe baada ya dakika 3 na kuendelea. Baada ya mchezo kuanza. Mzingatie hili Tangazo. Tuna letu jambo....
Amiin amiin Mtani.Ikawe heri kwa Wana Jangwani leo. Wawe makini sana,kamba mara nyingi hukatikia pembamba.
Hahahaa. Lol.TANGAZO
Kesho hatutaki dunduka yeyote atuanzishie uzi, tutaanzisha wenyewe baada ya dakika 3 na kuendelea. Baada ya mchezo kuanza. Mzingatie hili Tangazo. Tuna letu jambo....
ooooooooLigi ya ma losers ndio leo sio?Na wameipanga sawa na tarehe ya siku ya ..........Sijasema.