FT: Simba SC 1-0 Vipers SC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa Stadium | 07.03.2023

Phiri kapotea sana hawamlishi mipira. Hawa wetu kabisa. Simba waache vipasi vifupi vifupi pale golini, aingie Banda speed iongezeke pale mbele.
 
Hili tobo huwa wanafungwa goalkeepers Wa NBC premier League sio ligi ya Mabingwa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hata bure simtaki huyo mtani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mlokole alimshindwa, nitamuwezea wapi na alivyo muoga hivyo.
Yani huwa anachungulia kwenye kitobo cha dirisha... πŸ˜„ πŸ˜„ πŸ˜„
 
Yes, akina Mo Extra, Mo sabuni, Mo Ukwaju, Mo kashata, Mo bodaboda pamoja na Vunja bei. Nusu ya uwanja ni suti tupu!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Yes, akina Mo Extra, Mo sabuni, Mo Ukwaju, Mo kashata, Mo bodaboda pamoja na Vunja bei. Nusu ya uwanja ni suti tupu!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Umesahau Mo vitasa
 
Sekandi hafu wataingia na aprochi ya kufunguka

Hapo ndio watakuwa wamejikologa kwenye draft tunamsemo kuwa "tunakula kete zote kuanzia kwenye bao hadi za mkononi alizoshika mpinzani "
 
Sekandi hafu wataingia na aprochi ya kufunguka

Hapo ndio watakuwa wamejikologa kwenye draft tunamsemo kuwa "tunakula kete zote kuanzia kwenye bao hadi za mkononi alizoshika mpinzani "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…