Hahahaa wanawake hoyee kesho kwa mkapaKesho matukio mengi yanahusu akina mama!! Kwakuwa ni siku yao
Na za nyongeza mbiliBado dakika 5 mpira uishe
Huu mda ndio wa mateso sana tukiwa na goli mojaTushikilie tu bomba tusiwe kama Yanga
Dah..!!Dakk ya 85 Raja wanakosa penalty
Horoya 1-3 Raja
Bado kama dkk 7, zidisha maombi mpendwaWafanye watafute la pili jamani au muda umeisha?
Ila inatupa jakmoyo jamani khaaaa ila tunaipenda hivyo hivyoSimba tamu kama maini