FT: Simba SC 1-1 Azam FC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium| 09.02.2024

FT: Simba SC 1-1 Azam FC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium| 09.02.2024

Saido anatukaba. Sijui hata ana output gani, kila siku anapangwa.

Dogo Mwenda anajisahau kurudi. Ngoma anashindwa kutulia. Alipoenda kwao alilala sana.

Toa Ngoma weka Mzamiru.
 
Wakichomoa wanachomekwa,wakichomoa wanachomekwaaa,wakichomoa wanachomekwa tenaa na tenaaa shwaini.
 
Match Day!

View attachment 2898703

View attachment 2898704
Mchezo wa 13 kwa Simba akiwa na Alama 29 nafasi 3.

Azam wao wako nafasi ya 2 wakiwa na Alama 31.
View attachment 2898337
Simba alipoteza mara mbili Mfululizo kwa Azam Fc.

Hii ni Mechi ya kisasi.

All the Best Mnyama.

Kikosi cha Simba Kinachoanza.
View attachment 2898706

Kikosi cha Azam Kinachoanza
View attachment 2898721


Updates...

Timu zimeshaingia Uwanjani
Wanasalimiana hapa.
Time 15:57
Game On ...

00:31' Sila yuko chini amekutana na Tshabalala.
Faulo ya kwanza inapatikana hapa.

03' Azam wanapata faulo nyingine, inapigwa haileti madhara

05' Bado mpira unachezwa zaidi katikati ya uwanja.

07' Mpira unaendelea Simba wanapata freekick anapiga Chama unakuwa mrefu, inakuwa goal kick

09' Azam wanapata kona ya kwanza haileti madhara .

10' Fei anachezewa Faulo na Babakar. Inapigwa haileti madhara kwa Simba.

14' Goli. Azam wanapata goli la kuongoza hapa kupitia kwa Dube.

18' Saido anapokea Assist nzuri sana kutoka kwa Kibu D, anapiga vizuri kipa anadaka.

21' Mpira umesimama kwa muda. Kipa wa Azam anapatiwa huduma ya kwanza

27' Mpira unaendelea na sasa umerudi tena katikati. Kila timu ikijitahidi kufanya mashambulizi yakushtukiza.

33' Sopu anachezewa Faulo wanapata free kick inapigwa inakuwa goli kick.
Mpira unaendelea.

35' Simba wanapata Kona ya kwanza inapigwa haileti impact yoyote kwa Azam

36' Simba wanapoteza nafasi ya wazi kabisa kusawazisha goli.
Inakuwa goli kick

38' Gibril Silla anapata kadi ya njano baada ya kumchezea rafu Tshabalala.
Wakati huo Kipa wa Azam yuko Chini,
Mbona Uzi umepooza sana ,kunani?
 
Back
Top Bottom