FT: Simba SC 1-1 Azam FC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium| 09.02.2024

Saido anatukaba. Sijui hata ana output gani, kila siku anapangwa.

Dogo Mwenda anajisahau kurudi. Ngoma anashindwa kutulia. Alipoenda kwao alilala sana.

Toa Ngoma weka Mzamiru.
 
Wakichomoa wanachomekwa,wakichomoa wanachomekwaaa,wakichomoa wanachomekwa tenaa na tenaaa shwaini.
 
Mbona Uzi umepooza sana ,kunani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…