FT: Simba SC 1-1 Azam FC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium| 09.02.2024

Watu wanasema offside ile πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ilaaa
 
Pole sana kwa wanasimba,kipigo mlichopata leo,kisilete mtafaruku,ni mpira.
 
KAYOKOOOOOO AHSANTE BABA, SIMAMIA HAKI TU.
 
Alichodindwa BENCHIKA ni kutengeneza timu ambayo inaweza kuingia na kutengeza chances ktk kwenye box ya 18 yw mpinzani. pia mpira wa kasi unaowezw kuichanganya defence ya mpinzani...
Yale yale tuliyasema mechi ya Tabora united...

Magoli mengi mengi ya simba ni krosi,kichwa...
Machache sana yamepatikana kwa gonga za ndani ya box..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…