Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azam lazima apigwe
Unacheza na Azam unapotea, kimataifa utamfunga nani?Naam
Sijui kama tutashinda ama tutatoa sare
Ila kwa mpira huu naona improvement kubwa sana kwenye uchezaji wetu wanasimba
Atleast na imani kwenye mashindano ya kimataifa tunaweza fanya jambo
Kama hapa Simba ime ime improve basi ilikua ICUNaona tunaangalia mpira tofauti kwa kweli
Hatujafunga ila kipa kaokoa michomo kadhaa na uzembe mdogo mdogo wa wachezaji wa simba
Naona naongea na mshabikiKama hapa Simba ime ime improve basi ilikua ICU
Mwanza ni Strategic point.
Next Match tunakipiga na Geita.
Sawa sawaUnacheza na Azam unapotea, kimataifa utamfunga nani?
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
[emoji81][emoji81] chama kama la.pulga hakuna kama chama hapa Tz.chama kajificha au kafichwaChama tuokoe baba, twafaaaa
Benchika atuachie timu yetu.
Ili waonekane hawajaiogopa hii mechi, ilitakiwa waipeleke Chamazi (Nyumbani kwa Azam Fc)..?
Subiri wakianza kukata pumzi tutakumbushana.Naona kama wana upepo msimu huu, hata magoli wanafunga mengi tofauti na misimu iliyopita.
Uoga una ushahidi wowote??
Bora Kombe achukue AZAM hata aiumi ila sio simbaKwa Yanga Fc matokeo ya sare leo ni mazuri zaidi kwetu.