Wafunge kwa nguvu ipi walionayo?Simba fungeni goli dakika ya mwisho kabisa utopolo wazimie kwa pessure..
Kwa uwezo gani ulionao?Simba fungeni goli dakika ya mwisho kabisa utopolo wazimie kwa pessure..
AZAM akiwapga nyingi basi wao wenyewe watajiona wamekuwa na kufikia level moja na YOUNG AFRICANS wakati wapo level moja na nyie.Kwanini hutamani tupigwe nyingi?
Kwani hilo moja limetoka kwa nguvu ipi?Kwa uwezo gani ulionao?
Kwa namna timu yenu ipo inawatosha mushangilie tu Mkuu. 😅tunatoa droo leo😉
Ha ha haMaiti imepiga chafya mochwari
Papatu papatuKwani hilo moja limetoka kwa nguvu ipi?
80Zimeongezwa ngapi huko ???
7Zimeongezwa ngapi huko ???
Makocha kuna namna wanakosea, baleke, phiri, chilunda hawa ni strikers wazuri tuKiujumla Simba haina mshambuliaji wa kati wa kutegemewa kiuhakika. Tutalaumu kila kocha!!
FinallyRefa maliza mpira tunakaa mbali, na hizi mvua makorongo yanajaa