FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Ukweli usemwe, ushindi wa bao tano dhidi ya mtani si kila timu inaweza. Hii ndo Yanga ya Dkt Samia, Tupewe maua yetu, na huu ndio mwendo wetu mpya. Hongereni sana Wananchi kwa ushindi wa kishindo dhidi ya mtani.” WAZIRI WA Fedha
Aisee, kumbe mnaungwa mkono kiasi hiki ?...ndio maana....
 
tabu iko pale pale

ushirikina wanao walio washa moto katikati ya uwanja
 
Manula: Oya mwanangu una uhakika yule ni Pacome kweli au ni Lion Messi?
Zimbwe: ni Pacome yule sema wachezaji wa Yanga wapo zaidi ya 11 uwanjani
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hahahaha hahaaaaaaaaaaaa.....
 
Yangaaa noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…