FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Tunaendelea tulipoishia.
 

Attachments

  • 20250307_105236.jpg
    20250307_105236.jpg
    35 KB · Views: 1
Hahahaaa. Mtani i miss you jamani.
Miss you More mtani za siku 😊😊
Mtani hizi ndio ndoto sasa. 🤣🤣🤣🤣
Hahaha mtani nadhani Haukunielewa 😂😂
Hebu toka hapa Mtani. 🤣🤣🤣
Hiyo ni ndoto yangu tu mtani nakumbuka ile mechi mliyotufunga tano niliota kabla kuwa mmetufunga Goli nyingi nikapuuzia na yakatokea ya kutokea, ile mechi yenu na kmc mliyowafunga sita niliota kabla tena matokeo yakiwa vile vile sita moja japo kwenye ndoto timu haikuwa kmc, na leo tena nimeota kitu kama yanga moja then simba ina idadi kadhaa ya magoli japo siyo matano hayo ya huu ubao kujirudia nilikuwa nazingua tu 🤣🤣
 
Back
Top Bottom