LAbda sare ya nguo...Ila mpira nakataa.Hii Simba ina hasira mno asikuambie mtu.Sare hii
Uko sahihi Chifu.Wings backs ( defenders ) za Simba bado ...not much solid
kadri siku zinavyokwenda naona team inazidi kuwa more advancedMiongoni mwa Wachezaji wazuri ambao Simba imesajiri kwenye hilo dirisha dogo, ni huyu LIBASE GUEYE.
Sasa kuna ******* wakiongozwa na Popoma hawakuona Simba ilivyobadilika kwenye ile mechi dhidi ya Esperance.
Hasa kulia...Kushoto Kibabage anajitahidi.Na isitoshe ni nafasi ambayo ina mbadala kama Camara na Nangu.Kulia na striker ndipo penye shida Simba.Wings backs ( defenders ) za Simba bado ...not much solid
Hazikufika 6😃😄Mashujaa Anakufa zingi