Nimeuliza hapo hakuna sub?Wakomae wazimie?
Ubuntu bothoooTano za kipepo labda ..zile za majini wavaa vikuku...ila kwa uwezo wenu wenyewe hamtuwezi..
Kwa hiki kikundi cha wazee mlichonacho mtaishi kwa stress sana, labda mkija kupata timu.....Mapepo huwa yanaisha nguvu.
Ni swala la muda tu
🐸🐸🐸🐸Nani kashindaaa!?
Msimu ujao peleka maombiRefa takataka kabisaaaa
Nimemkumbuka Mzee GuedeKwa hiki kikundi cha wazee mlichonacho mtaishi kwa stress sana, labda mkija kupata timu.....