Smart AJ
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 5,564
- 5,884
Hapa kuna watu wenye nadharia mbili
1)kuna watu wanaohisi kuwa watu wote wanaotoka bara la ulaya watu wanadhani ni wazungu kitu ambacho sio
2) watu wote wenye ngozi nyeupe watu hudhani ni wazungu kitu ambacho sio
Wazungu wanakuwa na sifa zao kama vile macho, nywele, ngozi, n.k
Ila navyojua mimi warusi japo wanatokea ulaya lakini sio wazungu
Kwa taarifa yako kwenye kamusi ya kiswahili hakuna neno mzungu,bali ni msamiati au msimu tu wa mtaani ambao umekuwa maarufu tangu zama za ukoloni,ukimaanisha mtu mwenye rangi nyeupe kutoka bara ulaya..wazee wetu hawakuwahi kujua kutofautisha macho wala nywele kama unavyosema wewe.
Wao kwao muhimu awe mweupe na anatoka ughaibuni basi ni mzungu tu.
Kwa hyo since urusi iko ulaya tena mashariki basi warusi kwa mujibu wa neno mzungu basi wao pia ni wazungu.