Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Eti huyu nae ni mke wa mtu na anawatoto watatu.Tujiandae kisaikolojia Makolo wenzangu,kipigo leo hakikwepeki, tulikuwa tunashadadia mkataba wa Yanga tukasahau game yetu
Hujasoma mwanzo wa uzi?Game saa ngapi, nikaangalie mtani anavyokufa kwa mkapa
Eti huyu nae ni mchepu.ko wa mwanaume mwenye akili zake.Eti huyu nae ni mke wa mtu na anawatoto watatu.
HII NCHI INA MAMBO YA KIJINGA SANA.
FT SIMBA 3 VS 0 SBS.
KILA LA KHERI SIMBA.
Hivi katika lile Shindano lenu la Mwanachama Bora wa Jukwaa la Michezo ( Sports ) hapa JamiiForums liliisha kwa nani kuwa Mshindi? Nilitamani sana niwepo ili nami nipige Kura yangu.Majira ya Saa 1:00 Usiku kwa Masaa ya Afrika ya Mashariki,Mnyama mkubwa mwituni, Simba SC watashuka dimbani katika dimba la Benjamin Mkapa kuwakaribisha wana alizeti Singida Big Stars.
Mechi inategemewa kuwa ngumu, maana katika mchezo wa kwanza pale Liti, Singida, timu hizo zilitoshana nguvu kwa sare ya 1-1.
Simba itashuka dimbani ikiwategemea wachezaji wake mahiri kama Chama, Saido, na wengineo huku Singida Big Stars ikiwategemea zaidi akina Bruno, Kazadi na mastaa wengneo.
Je, Simba ataweza kuzoa alama zote tatu? Au Singida ndio atakayeibuka kidedea? Tukutane saa 1:00 usiku kwa live updates...
Ubashiri wangu: Simba 2-1 Singida
wakaanga alizeti wanapigwa 3-1Simba anagongwa period. Niko paleee nimetulia zangu.
SIMBA 3-0Majira ya Saa 1:00 Usiku kwa Masaa ya Afrika ya Mashariki,Mnyama mkubwa mwituni, Simba SC watashuka dimbani katika dimba la Benjamin Mkapa kuwakaribisha wana alizeti Singida Big Stars.
Mechi inategemewa kuwa ngumu, maana katika mchezo wa kwanza pale Liti, Singida, timu hizo zilitoshana nguvu kwa sare ya 1-1.
Simba itashuka dimbani ikiwategemea wachezaji wake mahiri kama Chama, Saido, na wengineo huku Singida Big Stars ikiwategemea zaidi akina Bruno, Kazadi na mastaa wengneo.
Je, Simba ataweza kuzoa alama zote tatu? Au Singida ndio atakayeibuka kidedea? Tukutane saa 1:00 usiku kwa live updates...
Ubashiri wangu: Simba 2-1 Singida
Unajisikiaje pale unapojitekenya na kucheka mwenyewe? Kabla ya kuja kuandika hapa, nilijaribu kuangalia ile ID yako pendwa ya game changer! Nikakuta tayari umeme umepita!!Hivi katika lile Shindano lenu la Mwanachama Bora wa Jukwaa la Michezo ( Sports ) hapa JamiiForums liliisha kwa nani kuwa Mshindi? Nilitamani sana niwepo ili nami nipige Kura yangu.
Wewe ndiyo uliyeulizwa Swali? Acha Kiherehere kama Mfuko wa Shati sawa?Unajisikiaje pale unapojitekenya na kucheka mwenyewe? Kabla ya kuja kuandika hapa, nilijaribu kuangalia ile ID yako pendwa ya game changer! Nikakuta tayari umeme umepita!!
Shida ni nini hasa? Mbona unakula sana umeme?