FT: Simba SC 3-1 Singida Big Stars | Estadio Benjamin Mkapa | 03/02/2023

FT: Simba SC 3-1 Singida Big Stars | Estadio Benjamin Mkapa | 03/02/2023

Nimeuliza kwasababu watu walimponda Chama, kuwa mzungu anapenda mpira wa kasi na Chama hafai kwenye mfumo wa mzungu. Sasa ndio najiuliza hiki kikosi kaachiwa Mgunda apange au mzungu kaishapata mfumo wa Chama?
Lakini wapo waliosema kuwa sababu ya kumtoa Chama ilikuwa ni kutokana na kuchelewa kwake kambini hivyo Kocha hakupata muda mwingi kumtazama Chama
 
Singida BS starting XI
0F243F5F-FA40-433A-818C-7D2CDD974047.jpeg
 
Majira ya Saa 1:00 Usiku kwa Masaa ya Afrika ya Mashariki,Mnyama mkubwa mwituni, Simba SC watashuka dimbani katika dimba la Benjamin Mkapa kuwakaribisha wana alizeti Singida Big Stars.

Mechi inategemewa kuwa ngumu, maana katika mchezo wa kwanza pale Liti, Singida, timu hizo zilitoshana nguvu kwa sare ya 1-1.

Simba itashuka dimbani ikiwategemea wachezaji wake mahiri kama Chama, Saido, na wengineo huku Singida Big Stars ikiwategemea zaidi akina Bruno, Kazadi na mastaa wengneo.

Je, Simba ataweza kuzoa alama zote tatu? Au Singida ndio atakayeibuka kidedea? Tukutane saa 1:00 usiku kwa live updates...

Ubashiri wangu: Simba 2-1 Singida
Simba Wana nafasi nzuri kutokana na wachezaji wazuri kama saido ,sakho na chama ila nawasi wasi na mfumo wa kocha atakaoutumia maana yawezekana hawajui singida , kilalakheri home boys singida
 
Simba Wana nafasi nzuri kutokana na wachezaji wazuri kama saido ,sakho na chama ila nawasi wasi na mfumo wa kocha atakaoutumia maana yawezekana hawajui singida , kilalakheri home boys singida
Nini maana ya kuwa na benchi la ufundi, nini maana ya kumbakiza mgunda, nini maana ya kuajiri analyst au mtathimini wa timu pinzani na yenu.

Suala la kocha wa Simba kutomjua vizuri mtoto wa utopolo Singida halina mashiko.

Simba anashinda gemu hii kiulaini
 
Back
Top Bottom