Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Chama kwa kweli apewe heshima yake tuWasiomtaka,Chama kwa sasa ni hawaitakii mema Simba
Ana msaada wake kwakweli
Na yote kwenye mipira ya kutengwaSaidoooo anapiga kichwa huru baada ya Chama kupiga freekick murua...
SSC 2-0 SBS
Kwahiyo kocha aitakii mema timu yake?Wasiomtaka,Chama kwa sasa ni hawaitakii mema Simba
Ana msaada wake kwakweli
Haina ubishi kamkubali pasipo shakaZa ndani kabisa , KOCHA AMEINGIA KWENYE MFUMO WA CHAMA JR
Anapika
UnaendeleajeSimba anagongwa period. Niko paleee nimetulia zangu.
Aje Huku tunakamua mafuta ya Alizeti gradeAnapika