FT: Simba SC 3-1 Singida Big Stars | Estadio Benjamin Mkapa | 03/02/2023

FT: Simba SC 3-1 Singida Big Stars | Estadio Benjamin Mkapa | 03/02/2023

Zimbwe nae huwa anazubaa sana kwenye kukaba, Kagere anapiga mpira yeye kashika nguzo tu.

Ni mzuri zaidi kwenye kupandisha mashambulizi.
 
Utopolo leo maumivu mara mbili. Sportpesa kawatia, Simba katia toto lao
 
Hii greekick kwenye eneo hili ni hatari sana
 
Kagere na Wawa naona namba zao mnazo na mmezitumia vizuri.
 
Bruno Goooooooooooooaaal gooal

Bruno Gomez anahesabu bao la kwanza kwa Singida Big Stars | Simba SC 2-1 Singida Big Stars
 
Back
Top Bottom