Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Singida anapigwa goli nne
Ngapi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Singida anapigwa goli nne
Utopwinyo naona mnarejea kwenye uziVipi wakuu mpira unachezwa au ni butua butua kama match zilizopita chini ya Mbrazil
Manula siku hizi yeye na cleansheet wana ugomvi mkubwa sana.Nilijua Tu, Manula [emoji1787][emoji1787]
Nilisema mapema kabisa kabla hajafungwa, huo udhaifu anatakiwa kuufanyia kazi.Simuamini sana Manula kwenye mipira iliyokufa.
Hahaha Amna Kuna muda unajua unaenda kazini ila Kila unachofanya hakiendiYaani paka saiv Singida tungekuwa tunaongoza goli 3 sema huyu msenge kagere amechukua ela za Mo
Ball inatembeaVipi wakuu mpira unachezwa au ni butua butua kama match zilizopita chini ya Mbrazil
Tupo toka mapema sana. Koment ya 1 ya huu uzi tupo we mkiaMmekuja kwa nguvu ghafla[emoji3][emoji3] acheni kujificha mashimoni huko mtakufa kwa kukosa hewa🫣🫣 Tate Mkuu
Sema kweliKagere tunajua namba yako wanayo ,pochi la tatu hili anakosa.
KuwaTupo toka mapema sana. Koment ya 1 ya huu uzi tupo we mkia