Hapana nimeshangaa tukwani kuna ubaya mkuu
Ni muda wowotekumbe wanaanzishaga asubuhi sikujua aisee
"ARAMA 5" Basi sawa.Leo Simba sports club atakuwa nyumbani kumkaribisha Namungo fc mechi itaanza saa 19:00usiku
Ikumbukwe simba ndio kinara wa msisimamo akishinda leo atamuacha mpinzani wake arama 5
je Simba ataendeleza ubabe wake mbele ya namungo tukutane saa 1
SIMBA NGUVU MOJAA
Kama hadi yanga alikaa nani ataweza kuzuia?Huku Matola, kule Mgunda!
Simba A vs Simba B
Matokeo yanajulikana hata kabla ya mechi kuchezwa.