FT: Simba SC 3-2 Namungo FC | Ligi Kuu NBC

FT: Simba SC 3-2 Namungo FC | Ligi Kuu NBC

Hata kuandika neno "moderator" haujui vizuri unaandika kama umekunywa cheupe unatarajia mods waje humu ?
roho mbaya inakusumbua mkuu hutaki kuona wenzako wanafanikiwa
 
Kweli mpira Hauna adabu .kuanzia Leo nimeamini

Simba 1:Namungo 2
 
MLIGO ANACHOMA....SIMBA IKITAKA IFANYE VIZURI KIMATAIFA INATAKIWA ITAFUTE FULL BEKI MZURI WA UPANDE WA KUSHOTO
 
Back
Top Bottom