adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 17,595
- 39,893
Vipi huko kumbe Kolo kachezea ?Ni macho yananidanganya au? 🤣🤣🤣
Nishauri kwa mpira unavyoenda Kolo atafungwa nikun'gute ndala nikamalizie dkk zilizobaki ? maana nilijua Kolo atashinda ndio maana sijaenda kucheki