FT: Simba SC 3-2 Namungo FC | Ligi Kuu NBC

FT: Simba SC 3-2 Namungo FC | Ligi Kuu NBC

Najuta kuja kucheki mechi , maana Simba anashambulia sana na anaweza shinda mechi
 
Kwa namna Simba wanavyoenda kushambulia kuna mawili wanaweza wakasawazisha ama wakapigwa goli la tatu la counter attack
 
Mechi sare hii hawa Namungo hawajawahi kumfunga Simba
 
Matokeo yakiisha hivi hivi , inabidi nijiunge Gb 2 za haraka Leo itakuwa sio siku ya kukosa kushinda Insta
Yah! Tutawasumbua sana leo.

Mana walikuwa wanajikuta sana. 😀
 
Back
Top Bottom