cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
😂😂😂 khaah mtanii, Kwanini lakini??Hahahaaa. Mlitunyanyasa sana Mtani.
Dua zangu zote kwa Namungo leo.
😂😂😂 khaah mtanii, Kwanini lakini??Hahahaaa. Mlitunyanyasa sana Mtani.
Dua zangu zote kwa Namungo leo.
Mufti kuku huna akili.Kuanzia dkk 80 naanza kuminya , nikianza sasa ninaweza sababisha athari za kiafya
😂😂😂😂 khaaahJamaa anatumia matokeo ya Simba kuFosi kimasihara 🤣
😂😂😂😂Sio penalty kabisa Doumbia hakuguswa FVS takataka , nafikiria kuacha kuangalia ligi ya bongo
Upambavu huu ,Simba akishinda Leo ndio mwisho kuangalia ligi ya bongo mpira wa Afrika labda michuano ya CAF tu😂😂😂😂
Yanga ikiwa inabebwa na Arajiga wazi wazi huonagi? Inauma eeeh?Upambavu huu ,Simba akishinda Leo ndio mwisho kuangalia ligi ya bongo mpira wa Afrika labda michuano ya CAF tu
Mechi iliyopita uliiona ?Sare ya kutafuta kwa 🔦, mmmh
Kwa mpira huu wa leo? Napata mashaka tunaweza kuburuza mkia kwenye makundi ya CL.
Nini hiki? Si upuuzi kabisa huu. Khaaah
Tokaaaaaa!! 😂😂😂😂Leo natangaza rasmi kuacha kufuatilia Ligi ya bongo tukutane CAF .
SIMBA alianza kubebwa Kona mbili za Bure mpaka Penalty,. Maarass!!
Ya Leo too much , salama ya NBC Mimi kufuatilia Simba asidhinde LeoYanga ikiwa inabebwa na Arajiga wazi wazi huonagi? Inauma eeeh?
😂😂😂😂
Mmmh Huu upepo Sio mzuri kabisa kwetu, kuna nini kwani?Mechi iliyopita uliiona ?
Kuna kazi bado