jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 11,860
- 12,071
Hawakawiagi hawa!Matokeo yakibaki hivi utasikia mangungu out.
Hawakawiagi hawa!Matokeo yakibaki hivi utasikia mangungu out.
Mtanii, mbona uko lele lele sana, kwemaa??Bora umejileta. 😂😂
Hapo sawa. Mie nilijua ni mbali.Sio na mbali na ninapoishi ni kwa ndugu yangu huku Kijijini naingia muda wowote kama Familia 😂
Jamani jamaniiii, 😢😢Tofauti itoke wappiii. 🤪
Jamaa anatumia matokeo ya Simba kuFosi kimasihara 🤣Em huko na wewe.
Hahahaaa. Mlitunyanyasa sana Mtani.Mtanii, mbona uko lele lele sana, kwemaa??
😂😂😂😂
Asante Doumbia kwa kuokoa goliBora Doumbia kaingia