Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Naaam
Tulia wewehatuna mpiga free kick kama chamaaa
Wanao ila wamezidiwa tu na QualityHivi hao Fountain gate nao hawana muunganiko?
Amekutana na timu mfuNiliwaambieni huyu Mukwala ni mundu
Sasa angalieni vitu vyake humu kwenye pitch
Yani muda wote unatamani mpira uwe kwake ili uendelee kufaidi mavitu vitu.
Kkkosi cha lunyasi kimetoka.. Unakisoma unakuwa unajiiliza hii timu gani? .Wanao ila wamezidiwa tu na Quality
Simba yenyewe haina muunganiko bado hapa mchezo unaamuliwa kwa Quality tu
Hawa sio VitaloAmekutana na timu mfu
Baelezee ππTulia wewe
ππππππHawa sio Vitalo
Fountain gate wanashiriki klabu bingwa?Hawa sio Vitalo