uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
- Thread starter
- #541
Nina mmoja huyo anafanyia bank x. Huyu kibonge wangu chemistry yetu tunaijua wenyewe! hapa tumepigana tofali.Ni kibonge kweli🤣
Mind u hatujawahi kukutana bila show! 🤣🤣🤣
Tukibahatika kuwasaliana tu, kwisha habari mwaka wa 5 huu.
Nahisi aliyetuloga alikufa na code zake