FT: Simba SC 4-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.08.2024

FT: Simba SC 4-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.08.2024

MKATAA PEMAA.....😅

#NB Haya Urudi Utukatikie Mauno Vizuri,
Maana ndio taaluma unayoiweza kwa Sana..

Ifikie Hatua Watu watambue ya Kuwa PESA sio kila kitu Duniani,
Mnataka kuniambia DUBE alikuwa Analipwa Milioni 1 Pale Azam,?
Why Alikimbia!???..

Kaona Structure ya timu haielewi na Haina utayari wa Kushindana Ili Kujipatia Heshima,
Badala yake Ina Azma ya kuwavuruga Wenzao kupitia Kwa Pesa zao za Mauno😅

MKINUNA MJE TARIME😄
 
Attachments

  • 1724599541658.jpg
    1724599541658.jpg
    323.1 KB · Views: 1
  • 1724599136898.jpg
    1724599136898.jpg
    391.1 KB · Views: 1
mwenye afya kajipima nguvu na mgonjwa kitandani hahahahah
 
Yaan yanga wanataka Simba akishinda wanune akifungwa wanune hilo haliwezekani iko hivi hii yanga inayosifika ngoja ifungwe mechi 2 utaona washabiki watakavyopayuka si mnasema imekamilika na makosa yataonekana ndiyo mashabiki walivyo wakifungwa wataongea wakishinda watashangilia
Timu yako imeshinda furahi ila hii kauli ya Yanga kufungwa ,Ifungwe na timu gani sasa haoa nchini au unazungumzia club bingwa,.Timu zote hapa nchini kazi yao ni kupunguza magoli kama alichofanya Simba kwenye ngao ya jamii au kutoa Draw,Mambo ya kufunga waachie Aly ahli??
 
Kama ninyi jana mlivyokuwa wazima wa afya afu mnapigana na maiti 9 uwanjani
hahahhaa. kulwa na doto wote wanapima afya na wagonjwa kitandani.
haya bana wacha tusubirie mapacha wakipigana nani ataumia
 
MKATAA PEMAA.....😅

#NB Haya Urudi Utukatikie Mauno Vizuri,
Maana ndio taaluma unayoiweza kwa Sana..

Ifikie Hatua Watu watambue ya Kuwa PESA sio kila kitu Duniani,
Mnataka kuniambia DUBE alikuwa Analipwa Milioni 1 Pale Azam,?
Why Alikimbia!???..

Kaona Structure ya timu haielewi na Haina utayari wa Kushindana Ili Kujipatia Heshima,
Badala yake Ina Azma ya kuwavuruga Wenzao kupitia Kwa Pesa zao za Mauno😅

MKINUNA MJE TARIME😄

We Utopolo, embu tuache Wenzio tusherehekee Ushindi huu Wa Mabao Manne kwa nunge.!

Nyongo Zako Na Fei toto zipeleke hukoo!
Hataki hataki tu kuchezea Yanga, Acheni Nongwa!
 
Back
Top Bottom