FT: Simba SC 4-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.08.2024

FT: Simba SC 4-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.08.2024

GUd93ApWIAA8G9g.jpeg
 
Yaan yanga wanataka Simba akishinda wanune akifungwa wanune hilo haliwezekani iko hivi hii yanga inayosifika ngoja ifungwe mechi 2 utaona washabiki watakavyopayuka si mnasema imekamilika na makosa yataonekana ndiyo mashabiki walivyo wakifungwa wataongea wakishinda watashangilia
 
Simba waongeze jihad,speed na nguvu.Pia wasajili wachezaji wa maana,timu bado dhaifu.Wasione wanashinda kwa hizi timu zilizojifia wakaona wamemaliza.
Dhaifu kwa kipimo gani? we Utopolo
 
Back
Top Bottom