FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

Kwani unazani angekaa kimya hasinge pigwa?
Kipimo cha approach yake ni mdomo wake. Niliona kaongea mengi ambayo alipaswa kuyaongea baada ya mechi. Habari ya goli tano na uzee sio ya kuingea hayo wakati hata mechi hujacheza. Huyu kocha kaidharau sana Simba hata approach yake kaifanya kwa kutokumuheshimu mpinzani. Hana tofauti na alichofanya kocha wa Horoya alikuwa hivyo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…