FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

Aliyeingia robo na mechi moja mkononi na aliyeingia mechi ya mwisho yupi Bora?

Anyway nyinyi ni wa kuwasamehe Tu mwenye timu muda huu anagonga cheers anasubili cheque ya CAF Tu.
Kwani nyinyi hizo hela zinaenda kwa nani, kama sio kwa GSM?
 
Kwa timu gani muliyocheza nayo timu mbovu hata azam anamkalisha.
Timu ambayo mliwapa kambi bure na maelekezo memgine ili simba tufungwe mnawakana sasa hivi baada ya kichapo
 
Attachments

  • 20240301_105740.jpg
    20240301_105740.jpg
    61.5 KB · Views: 3
Timu ambayo mliwapa kambi bure na maelekezo memgine ili simba tufungwe mnawakana sasa hivi baada ya kichapo
Na wewe unaamini huu upuuzi? Avic town kuna maghorofa?

CCM itatawala mpaka iseme basi, maana inatawala maiti, na huku kwenye Mpira ndio wanaombea Muendelee na ulevi huu huu ili watu wafanye mambo yao Bila kelele.
 
Mtatubu sana na mizigo yenu mnapenda kuleta shobo kwenye mechi za simba
 
Back
Top Bottom