FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

Hivi kiuhalisia kabisa tukiweka ushabiki pembeni kati ya simba na yanga ni mashabiki wa Timu gani wana mbwembwe [emoji3][emoji3]
Mpira ni mchezo,
Mpira ni starehe na furaha timu ikishindwa.
Mpira ni burudani.
Mpira inahitaji ushabiki,bila ushabiki huo sio mchezo Bali ni majanga.
Mbwembwe ni sehemu ya furaha.
Simba wanajua kufurahia ,kushabikia na kuburudika.
Kutokana na maelezo hapo juu jibu ni mashabiki wa Simba ndio wenye mbwembwe.wamekua wabunifu kushangilia na kushabikia kwa miaka mingi.
 
I wish one day tutaonana
Mkuu
images%20(27).jpg
 
.

Yanga wanaingiaje hapa?

Yanga ilishasecure robo fainali kitambo tu.

Mwamedi Saa hizi anatabasamu ana uhakika wa kuvuta Mpunga wa CAF Kwa kuingia robo.

Kumbuka mwenye timu hapangiwi matumizi ya pesa zake.
Kwani yanga ni utopolo?
 
Back
Top Bottom