FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

Sanamu la chama liwekwe viunga vya msimbazi..

Japo nimeshangilia mpira wa timu yetu Simba nikiwa kitandani nauguza jeraha la kuvunjika mguu wa kushoto

Ila siku ya Leo imekua nzuri na furaha sanaa Kuna muda nilijikuta nataka kunyanyua mguu wenye HOGO

ALL IN ALL,
Simba Guvu Moja 😊😊😊😊
Mungu akuponye haraka mwanasimba Simba leo imejituma ila beki za galaxy zinakabia macho.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Yani wew kichwa chako umuua Kwa presha ankowangu
Anko wako mstaarabu eti, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeye mashabiki wa uto wakiwa wananinanga anasema potezea usijibu, naweza wapi? Heka heka hapa kwangu ndo kituo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimevurugwaa leo aunt.
 
Sanamu la chama liwekwe viunga vya msimbazi..

Japo nimeshangilia mpira wa timu yetu Simba nikiwa kitandani nauguza jeraha la kuvunjika mguu wa kushoto

Ila siku ya Leo imekua nzuri na furaha sanaa Kuna muda nilijikuta nataka kunyanyua mguu wenye HOGO

ALL IN ALL,
Simba Guvu Moja [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Oooh poleee sanaa, hope ushindii huu umekata maumivu ya jeraha lako.
[emoji120][emoji120]
 
Rekodi Zinajielezea [emoji2][emoji2]
20240302_221729.jpg
 
Back
Top Bottom